BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=gqDdtmnrxR4
TFF Wakitumia Sheria Hii, GSM Watalipa Mamilioni ya Fidia. Mwanasheria Afunguka
Baada ya kampuni ya GSM inayoidhamini klabu kama yanga na coastal union kujihudhuru katika udhamini wenza na benki ya NBC katika ligi ya NBC premier leagu baadhi ya watu wamekuwa na mgongano kama GSM au bodi nani yuko sahihi
kutokana na sheria za udhamini na maelezo kutoka TFF yakuwa GSM ajatoa hela hata kidogo katika kuvilipa vilabu amabvyo vuliweka mambanho yake pamoja na nembo yake katika bega la kushoto hii inaonesha kuwa GSM ajatekeleza kipengele hata kidogo cha mkataba wake hivyo atahitajika kulipa hela kwa TFF
aidha kampuni ya GSM bado wataendelea kudhamini vilabu kama namungo na wananchi yanga kama ilivokuwa apo awali
...
https://www.youtube.com/watch?v=9q_1UytiRWU